Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,656
- 3,785
Anadhani watu bado ni wajingaNajiuliza sana utu gani watu wanatekwa na kupotezwa? Ila hatuko mbali sana na mapambazuko.
Naungana na wewe yaani kapaisha mpira akiwa yeye na goli. Alikuwa na nafasi nzuri saaana tena angekuwa wa kwanza kupendwa na historia yake kudumu vizazi na vizazi. Kwasababu amekuwepo katika utawala wa JK anajua watu waliyoyapenda kwake na waliyoyachukia.Kila siku nilikuwa nawaza huyu mtu anajua maana ya "UTU" au analiongea tu hilo neno, ndiyo ubaya wa kuzungukwa na MACHAWA
Alikuwa na nafasi mzuri kaichezea mwenyewe hana wa kumlaumu.
Another "UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA"