Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 248
Kamamnda wewe una roho ya chuma! unamudi kufanya kazi na wadosi?Mhindi akinistress basi huingia JF. Kuna list ya watu ambao huwa nayapitia maandishi yao ili kidogo kunifurahisha na kunifanya nirudi duniani. Miongoni mwa watu hao ni huyu bujibuji.
Hebu naomba usome hii link hapa chini halafu unisaidie majibu kuwa bujibuji anawagaje.
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/97325-anataka-kuupamba-mti-wangu-xmas-eve.html
Anawazaga nini au anawazaga kwa kutumia nini?
Usema kweli hata mi namfagilia sana Bujibuji...
khesma yako mkuu..
Khesma ni lugha gani aaaaagrrrrrrr
lugha ya JF....
Ona pua yako Kama Rejao
asanteee...
ungejua jinsi ninavyo mfagilia Rejao ........
Onyo Bujibuji acha tabia ya kujipaisha kwa kuanzisha post na kujijibu