Hivi huyu mwenzetu bujibuji anawazaga nini?

hiki kichwa nakikubali, nikisoma comment zake lazima ntacheka tu!
 
Hata ukimsalimia atatoa marhaba yake tofauti kabisa na ya mwita25!
 
buji anachekesha sana, hamna tofauti kati ya avatar yake na yeye mwenyewe
 
eti alimshugulikia msichana hadi akawa anashindwa kusema uji, eti alikua anasema buji.hahahaaaa...!!bujibuji bana. mia
 
eti alimshugulikia msichana hadi akawa anashindwa kusema uji, eti alikua anasema buji.hahahaaaa...!!bujibuji bana. mia

tena msichana mwenyewe namfahamu,
ngoja tu nitamtaja hapa hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…