Van pierre
Member
- Mar 27, 2011
- 25
- 0
umenena vyema mkuu.Ndiyo, yupo ok bt maybe hukumsikia vizuri, ugali uliokobolewa ndio alisema tusile kwa sababu unakua hauna madini ya kutosha ya iodine ambayo yana speed up kusafiri kwa kasi kwa umeme wa meridian mwilini, pili blueband ni mbaya huo ni ukweli coz ukisoma kwenye cancer ya matiti na hypertension yenyewe inachangia kusababisha hayo magonjwa. Kuhusu vinywaji vya coca na pepsi vile ni depresants na kwa utafiti zaidi kachunguze kemikali zinazowekwa kwenye soda halafu kawaulize wataalam kama zina faida mwilini. Mayai alisema tusile kwa wingi kupita kiasi kwa sababu kiini chake kina cholesterol nyingi. Buddy i think you should pay attention well next time and judge well instead of partial perceiving.
Ndiyo, yupo ok bt maybe hukumsikia vizuri, ugali uliokobolewa ndio alisema tusile kwa sababu unakua hauna madini ya kutosha ya iodine ambayo yana speed up kusafiri kwa kasi kwa umeme wa meridian mwilini, pili blueband ni mbaya huo ni ukweli coz ukisoma kwenye cancer ya matiti na hypertension yenyewe inachangia kusababisha hayo magonjwa. Kuhusu vinywaji vya coca na pepsi vile ni depresants na kwa utafiti zaidi kachunguze kemikali zinazowekwa kwenye soda halafu kawaulize wataalam kama zina faida mwilini. Mayai alisema tusile kwa wingi kupita kiasi kwa sababu kiini chake kina cholesterol nyingi. Buddy i think you should pay attention well next time and judge well instead of partial perceiving.

Nimekusoma mkuu!sasa na hii ya kuzitaja hizi bidhaa kwa majina kwenye tv inakuwaje??si anaharibu busines za watu?me nafikiri ktna mambo anatakiwa kuyatamka akiwa na mteja mmoja mmoja
Hivi jamani katika watanzania wanaoshi mijini wangapi hawatumii unga wa kukobolewa yaani sembe? lini tumeanza kutumia sembe?