GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mwambieni aanze sasa Kuyazoea Maisha ya Jela kwani alidhani alivyoipangua ile ya Kwanza ndiyo atazipangua zote?
Halafu mwambieni kinachomponza hata asisaidiwe na waliom 'fix' huko ni Kauli zake kuwa akiachiwa Huru tu atakuja Kukinukisha ( yaani Kuchafuwa Hali ya Hewa siyo ya Kujamba ) kwa Malkia Mmoja wa Marekani, Dar es Salaam, Dodoma na Zanzibar.
Akipona na Kuzipangua Kesi zote nahamia rasmi Kwao akina Fiston GENTAMYCINE Mayele ili niwe 'natetema' nae vizuri na nijifunze Mashuti mazuri yaliyoenda Shule ya Feisal GENTAMYCINE Toto.