GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ukiwa kwenye uongozi usiwafanyie sana watu undava especially wafanyabiasharaWauza madawa wa ufipa wana nguvu sana
hahahaha. utaandika sana lakini kijana yupo nyuma ya nondo.Wauza madawa wa ufipa wana nguvu sana
ila wewe jamaa nmejikuta nacheka tuMwambieni aanze sasa Kuyazoea Maisha ya Jela kwani alidhani alivyoipangua ile ya Kwanza ndiyo atazipangua zote?
Halafu mwambieni kinachomponza hata asisaidiwe na waliom 'fix' huko ni Kauli zake kuwa akiachiwa Huru tu atakuja Kukinukisha ( yaani Kuchafuwa Hali ya Hewa siyo ya Kujamba ) kwa Malkia Mmoja wa Marekani, Dar es Salaam, Dodoma na Zanzibar.
Akipona na Kuzipangua Kesi zote nahamia rasmi Kwao akina Fiston GENTAMYCINE Mayele ili niwe 'natetema' nae vizuri na nijifunze Mashuti mazuri yaliyoenda Shule ya Feisal GENTAMYCINE Toto.
Yuko ndani sasa acha Ubwege Wewe.Hivi si yupo uraiani si auze vitu vyake asepe hata sudan nani atamtafuta huko
Machozi aliyolia siku ile yalikuwa na maana kubwa sana , kwa mwanaume kulia siyo rahisi kihivyoMwambieni aanze sasa Kuyazoea Maisha ya Jela kwani alidhani alivyoipangua ile ya Kwanza ndiyo atazipangua zote?
Halafu mwambieni kinachomponza hata asisaidiwe na waliom 'fix' huko ni Kauli zake kuwa akiachiwa Huru tu atakuja Kukinukisha ( yaani Kuchafuwa Hali ya Hewa siyo ya Kujamba ) kwa Malkia Mmoja wa Marekani, Dar es Salaam, Dodoma na Zanzibar.
Akipona na Kuzipangua Kesi zote nahamia rasmi Kwao akina Fiston GENTAMYCINE Mayele ili niwe 'natetema' nae vizuri na nijifunze Mashuti mazuri yaliyoenda Shule ya Feisal GENTAMYCINE Toto.
Kwamba unasema wamtatue marinda...Apewe ulemavu wa kudumu huko gerezani