Hivi huyu ' Scorpio me' anasoma saa ngapi? Huu mkopo unaenda bure

Naona kama unataka tetea ujinga,,... MU stands for the college that is Mzumbe.acha u ......
 
Aisee acheni kumsumbua mama yenu,yupo bafuni anaoga akitoka nitamwambia wana chuo wenzie mnamuulizia anasoma saa ngapi????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu acha utani kabisa na Mke wangu. Leo kachoka sana. Atarudi asubuhi sana humu aje amtolee ufafanuzi huyu mkuu!
 
wewe uko chuo gani??
 
Nimeshampeleka kwenye uno la kiluguru. Anajifua ili akate uno siku ya kesho kutwa hapa nyumbani samaki spot
 
Mkuu acha utani kabisa na Mke wangu. Leo kachoka sana. Atarudi asubuhi sana humu aje amtolee ufafanuzi huyu mkuu!
Samahani mkuu kumbe wewe ndio yule kibabu anasema unamsumbua sumbua enheeee hahahahaha nashukuru kukufamu pia akiamka nitamfahamisha kwamba ulipiga simu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wewe uko chuo gani??
Chuo tena mkuu na uzee huu???Kama unaniona maeneo ya hapo chuo ni kwamba nafanya jambo la ulinzi shirikishi tuu kuhakikisha dada yenu Scorpio me namleta/kumrudisha ilimradi asipatwe na stress bwn mdg[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Samahani mkuu kumbe wewe ndio yule kibabu anasema unamsumbua sumbua enheeee hahahahaha nashukuru kukufamu pia akiamka nitamfahamisha kwamba ulipiga simu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akiamka kutoka wapi,..??? romboo,..!
 
Akiamka kutoka wapi,..??? romboo,..!
Hahahahahahaaaa amekuja kuchukua masurufu huku nanjilinji,sasa si mnajua anavyojipenda mama yenu aliingia kuoga kidogo baada ya vishughuli vya hapa na pale,anavaa hv sasa atakuja kuwajibu hoja zenu msihofu vijana....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Afu vikisupp vinalalamika walimu wa chuo wana roho mbaya.
 
Aisee acheni kumsumbua mama yenu,yupo bafuni anaoga akitoka nitamwambia wana chuo wenzie mnamuulizia anasoma saa ngapi????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakuu siwaelewi kwa nini mnakigombania hiki kibinti, juzijuzi tu kimekuja hapa hospitali kwetu tumekichoropoa kibendi sijui kilikua cha nani sasa kati yenu .. tena kwa taarifa yenu kimeniahidi game la nyoka kikipona
Mkuu acha utani kabisa na Mke wangu. Leo kachoka sana. Atarudi asubuhi sana humu aje amtolee ufafanuzi huyu mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…