Hivi huyu Waziri ,siye aliyeiba Chokleti pale Supermaket Mlimani Mwaka 1998 kweli!??


Ni Angellah K au?
 
Kuna imani mbili duniani zanakinzana kuitawala dunia na vilivyomo.
Imani ya kimungu inayosimamiwa na Dini na imani ya kibinadam inayosimamiwa na siasa. Makundi yote mawili yanatumia muda mwingi kumpa binadam matumaini ya Kupata maisha bora . Dini inamhusisha zaidi Mungu na siasa ni akili na kile kilichonificha mioyoni.
Kwenye siasa Mara nyingi usafi wa mtu ni kutokana na mtizamo na msukumo wa jamii. Jamii ikisema hatumtaki yule mana ana roho mbaya na kiburi basi wanasiasa wanaanza kubadilika na kuchaguana wenye roho nzuri na heshima. Hata kwa kujifanya machoni mwa watu.

Ndio maana:-
Kumpata mwanasiasa muuaji ni jambo la kawaida kabisa .
Kumpata mwanasiasa mwizi ni jambo la kawaida kabisa.
Kumpata mwanasiasa mzinzi sana ni jambo la kawaida .
Kumpata mwanasiasa mwongo ni jambo la kawaida.
Kumpata mwanasiasa mnafiki ni jambo la kawaida.
Kumpata mwanasiasa mshirikina ni jambo la kawaida .
Kumpata mwanasiasa mwenye chuki na roho mbaya ni jambo la kawaida.
Kumpata mwanasiasa mbinafsi ni kawaida.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkishiba makande mna taabu sana ,
wewe unajua mlimani city ilijengwa huo mwaka ?
 
kwanza Supermarket gani? MLIMAN CITY IMEANZA MWAKA 2005 sasa unasema ipi, au nyingine ??
 
Unamwongelea Ummy Mwalimu?.. kama aliiba kweli itakuwa enzi za ujana wake tu, kila mtu aliwahi fanya ujinga kwenye ujana wake!..
Yeye mwenyewe anasema yeye ni mtundu. Lakini ukiwa mwanafunzi na bado kijana hivo ni vitu vya kawaida sana. Mbona Rais Obama alikili kuvuta bangi alivokuwa mwanafunzi wa chuo si huyo tu hata Hayati Mo Mowlam alikuwa waziri uingereza aliisaidia sana Tanzania enzi hizo alikili kuvuta bangi akiwa chuo. List ni ndefu. Hayo mambo ya shoplifting ni kawaida sana kwa wanafunzi si unaona uchapaji kazi wake ulivo wa kutukuka ?
 
Wewe ndo msengerema utasemaje miaka 21 ni mtoto?tena yupo chuo?....au we ndo ulikuwa Yule mwenzake mliokuwa wote wakati mnafanya tukio

Sent using Jamii Forums mobile app

Mwehu wewe!

Hata kama angekua na miaka 100......

Watu walikua mashetani mwaka jana,leo ni wazima na wanatenda mema,huwezi chukua ushetani wake wa mwaka jana ukamletea leo!

Wewe past yako umetenda maovu mangapi na leo unatenda mema mangapi!Ndio maana wanadamu wana acha maovu na kufanya mema.

Na uelewe miaka 21 bado ni mtoto biologically na usiniletee definition ya kwenye katiba ambayo ni definition ya wanasiasa who do not know anything kuhusu biological composition na psych ya wanadamu kuacha kutafuta wapiga kura wadogo kadiri wanavyoweza ili wapate kura maana hawana akili.

Biologically miaka 21 ukivuka ndio ndio umekamilika everything!

Kasome biology wewe mwehu na usiniletee definitions za wapumbavu wanasiasa wenzako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…