coscated JF-Expert Member Joined Nov 17, 2010 Posts 3,264 Reaction score 2,676 Jan 15, 2011 #1 Ningependa kufahamu kuhusu huyu zomba je ni zombie(msukule) au? Maana mawazo anayochangia sijui yanatoka sayari gani kiasi kwamba napata wasiwasi kama huyu kiumbe anaishi duniani ama Tanzania. Naombeni msaada wenu wa mawazo tafadhali.
Ningependa kufahamu kuhusu huyu zomba je ni zombie(msukule) au? Maana mawazo anayochangia sijui yanatoka sayari gani kiasi kwamba napata wasiwasi kama huyu kiumbe anaishi duniani ama Tanzania. Naombeni msaada wenu wa mawazo tafadhali.