Hivi ICC ni Mahakama Kuu ya Kimataifa ya Uhalifu au inayoshughulikia Uhalifu?

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Wajameni mi huwa sielewi kabisa ICC maana yake nini!

Ni mahakama ya uhalifu au mahakama inayoshughurikia uhalifu. Man hivi ni vitu viwili tofauti.

Nimekuwa nikisikia kutoka radio mbali mbali hususani BBC na DW eti ni mahakama kuu ya kimataifa ya uhalifu which mens it is there to violate issues.
 
Wajameni mi huwa sielewi kabisa ICC maana yake ninj!

Ni mahakama ya uharifu au mahakama inayoshughurikia uharifu. Man hivi ni vitu viwili tofauti.

Nimekuwa nikisikia kutoka radio mbali mbali hususani BBC na DW eti ni mahakama kuu ya kimataifa ya uharifu which mens it is there ti violate issues.
Tatizo kingereza ni cha ugoko, kirefu cha ICC ni nini?
 
Ni Mahakama ya kushughulikia wahalifu Weusi yaani sisi Waafrika.
 
= inayoshughulikia
= uhalifu

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Hapana ukisirikiza inavyosomwa wanasema mahakama kuu ya uharifu. Maana yake mahakama yenyewe ni harifu siyo inayoshughulikia uhalifu
 
Wajameni mi huwa sielewi kabisa ICC maana yake ninj!

Ni mahakama ya uharifu au mahakama inayoshughurikia uharifu. Man hivi ni vitu viwili tofauti.

Nimekuwa nikisikia kutoka radio mbali mbali hususani BBC na DW eti ni mahakama kuu ya kimataifa ya uharifu which mens it is there ti violate issues.
Dah mzee uharifu ma

Dah mzee uharifu kichwa cha mada yako hakieleweki kua ni uharifu au uharifu
 
Ni lugha yako tu ndiyo inakupiga chenga za Messi.

Kwamba ni mahakama ya uhalifu au inayoshughulika na uhalifu au inayoshughulikia uhalifu au inayohusika na uhalifu, vyote vinaweza kuwa na maana nyingine kabisa.

Jambazi ni mtu wa uhalifu. Anashughulika na (shughuli yake ni) uhalifu. Anashughulikia (anajihusisha na) uhalifu. Anahusika na uhalifu.

Sijui hatujaelewana bado?

NB: RRRRRRR vs LLLLLLLLL Fanyia zoezi hiyo kitu bhana. Inakela sana kuisoma harafu ukute umecherewa kuingia JF, inakuwa hatali sana. Seliousry! Rara unono blothel/sistel debrant!
 
Hapana ukisirikiza inavyosomwa wanasema mahakama kuu ya uharifu. Maana yake mahakama yenyewe ni harifu siyo inayoshughulikia uhalifu
Halafu utakuta wewe ndiyo kwenu wanajivunia msomi.
 
Back
Top Bottom