GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mropokaji wetu 'Hali tena Kamwe' chonde chonde Mdogo wangu kwa hizo Fito zako ( Miguu yako myembamba kama Mifyagio ya Chelewa ) uliyonayo Usithubutu Kuvaa Bukta na Kuikunja ili utuonyeshe hizo Fito zako kwani Mashabiki wote Watakimbia Chama la Wazi' Stadium Mbagala na kuwaachieni Timu yenu wakihisi labda wamevamiwa na Kibwengo.