Hivi ile Arusi Ya Diamond na Zari imeshafanyika au bado? Niliishia kuona maandalizi tu

Hivi ile Arusi Ya Diamond na Zari imeshafanyika au bado? Niliishia kuona maandalizi tu

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Yaani Huyu jamaa alishazoea kuishi kwa kiki so haishiwi vituko. Sasa Yale maandalizi yalikuwa ya nini mbona kama hiyo Arusi haijafanyika? ndio maana kuwa shabiki wake tu inabidi uwe na akili ya matope
 
Kwani kuna sehemu alipost kwamba anafanya harusi?acha kiherehere mtoa mada acha kufatilia maisha ya watu ayo ni mambo ya kike badilika bwana

Alikuwa anashoot video#wabongo mkafikiri harusi

blame no body
 
Hata ulivyoandika harusi ni design ya wale wanaoporomosha matusi instagram
 
acha umbea,basi hapo roho lako halitulii kutaka kujua maisha ya watu.

Hata kama ni jukwaa la celebrity sio kihivyo
 
Yaani Huyu jamaa alishazoea kuishi kwa kiki so haishiwi vituko. Sasa Yale maandalizi yalikuwa ya nini mbona kama hiyo Arusi haijafanyika? ndio maana kuwa shabiki wake tu inabidi uwe na akili ya matope

Samahani kuuliza Mtarban, jinsia yako ni ya kike au ya kiume?
 
Aisee wabongo wape picha tu...story nyingi zitaundwa kupitia hiyo picha
 
Doh,naona mipovu kibao.

Ndoa tayari bana.sasa wao ni wanandoa kamili,ika kick ilibuma sababu ya seduce me.
 
Back
Top Bottom