S Soki JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 1,303 Reaction score 279 Jun 6, 2011 #1 Maana tunasikia tu kesi za mabilioni ya EPA nk; je, kesi ya DECI mbona kimya kabisa? Na yale mabilioni waliyoyakusanya yako wapi na ni nini hatima yake?
Maana tunasikia tu kesi za mabilioni ya EPA nk; je, kesi ya DECI mbona kimya kabisa? Na yale mabilioni waliyoyakusanya yako wapi na ni nini hatima yake?
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,367 Reaction score 1,293 May 11, 2013 #2 nh cjui kesi hi iliishia wapi
P Pravda Member Joined May 11, 2013 Posts 14 Reaction score 0 May 11, 2013 #3 Ngoja tumalize issue za mabomu Arusha!