Hivi ile movie ya kibongo iliyokuwa inapigwa promo Azam kwamba ina budget ya mamia ya mamilioni, iliishia wapi? Box office yake ilikaa vizuri?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Wakuu hivi ile filamu ya kitanzania iliyojulikana kama Eonii ambayo ilipigiwa sana Promo na watu kuifananisha na movie za hollywood imeishia wapi?

Screenshot_20241105-205908.png

Soma pia: EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile
 
Sema wabongo tunachukulia mambo poa poa sana, ila kuigiza muvi kunataka mtu Mwenye elimu ya juu, kama sio elimu basi awe mtu Mwenye exposure kubwa sana na jamii mbalimabali ndani na nje ya nchi au awe mtu Mwenye kipaji haswa.
Na director lazima awe genius, hakuna option nyingine Hapa.
 
Hakika
 
Binafsi hata sikujishughulisha kuangalia. Kwanza siyo muumini wa Bongo muvi, wala muvi za aina ile.
 
Back
Top Bottom