Hivi ile movie ya kibongo iliyokuwa inapigwa promo Azam kwamba ina budget ya mamia ya mamilioni, iliishia wapi? Box office yake ilikaa vizuri?

Sema wabongo tunachukulia mambo poa poa sana, ila kuigiza muvi kunataka mtu Mwenye elimu ya juu, kama sio elimu basi awe mtu Mwenye exposure kubwa sana na jamii mbalimabali ndani na nje ya nchi au awe mtu Mwenye kipaji haswa.
Na director lazima awe genius, hakuna option nyingine Hapa.
 
Hakika
 
Binafsi hata sikujishughulisha kuangalia. Kwanza siyo muumini wa Bongo muvi, wala muvi za aina ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…