Hivi ile ya mwili wa marehemu kugoma kuzikwa mahala fulani huwa imekakaaje? Huwa kuna energy fulani au ni mazinga ombwe tu?

Utayasikia hayo kwenye jamii duni yaani zisizoelimika.

Tofautisha kuelimika na kwenda shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…