Hivi ili wazo langu ni la kipumbafu au la kisayansi? Nisaidieni!

Pole sana mkuu hapo umesahau kazi za salivary amy lase ambayo hugeuza starch na kuivunja vunja umesahau kazi ya saliva kulaininsha chakula ili kipite kwa mfumo wa rhythimic constriction acrross an oespphagus via abdomen up to anus ... Hutaki kusikia habari za hcl kustop action ya sa salivary amylase na kuinitiate breaking of protein molecule na lipid by gastric juices pind tu chakula kinapofika tumbon .... Nakuonea huruma mkuu ... Ungejua kwamba unapokula chakula .... Au kabla ya. ... Gastic juices znakua zsha be secreted sababu yenyewe ni unconditioned reflexes as proved by pavlov ... Hata fasting juices ..... Aaah

Mkuu sory ila rudi shule mkuu

eti mimi nachekesha [emoji23][emoji23]
 
yaan kugeuza tu njia haitoshii....inatakiwa zile process zote za kikemikali ambazo zina meng'enyaa chakulaa ziwe reversed piaa....how are u going to do that...??kwa namna yoyote utakayofanyaa lazima itahusisha complex systems ambazo haziwezi kuwekwa mwilini mwa binadamuu
 


Kwanza kabla ya kufanyiwa hiyo operation fikiria jinsi ya kuzalisha hayo mavi unayotaka kula, au utakula mavi ya nguruwe na mbwa ambao utakuwa umewafuga??.
 
Ah ah ah ah ah! Jiniasi mwenzangu wewe umewaza vizuri... Yaani unataka unye ching ching zile. Safi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mawazo ya kisayansi inabidi uwe umesoma na una akili, ukiwa mjinga kama mtoa mada bas utakuwa daily unaota mawazo mgando
 
Mkuu hili ni wazo la KIPUMBAVU!.
Umekula Kinyesi kilichotokana na Pilau Nyama, Kachumbari, Ndizi, Parachichi na Juice je utawezaje kuvigeuza vikatokea vyakula!?. Rudia kusoma mfumo wa Mmeng'enyo chakula toka Kooni mpaka kinatoka then rudi angalia Operation kama itakuletea majibu yako!.
 
Akili yako inaenda speed kiasi kwamba mpaka umeharibu bwana mkubwa
 
[emoji23][emoji23]

Nitukane kimoyomoyo...fala sana
 
Ikiwa hivo maana yake kutakua hakuna kunyonyana mate tutakua tunanyonyana mekundur

ntaufaidi sana m.k.u.n.d.u.r wa mtoa mada
 
Write your reply...mpaka miaka hii mitano iishe tutaona mengi ila ndo maisha tuliyochagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…