Ulijiskiaje?
Una ushauri gani kwa wanaosoma chuo sasa hivi, juu ya supplementary.
Darasani kwenye lectures, seminars, presentations, group discussions, etc.; hujawahi kukosa hata siku moja, matokeo yake unakamatwa na supplementary na unatakiwa kusapua.
Huwa kitu gani kinaingila hapo kati na kuchochea hali hiyo, akati kuna watu hata darasani hawaingii na hawakumbani na changamoto hiyo. Au ni kukosea namna ya kujifunza mambo?