comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
🤣🤣🤣Watu wadini ni kitengo cha vichaa pro max.
Leo wanamuombea raisi kuishi miaka mingi utazani wapo na mungu na shetani
Au majini yalikutana na Moshi WA bangi naskia yanaogopa bangiafande sele ali tukana jambo kuhusu Mungu Baada ya magufuli kufa, ndio shekhe kishk majini aka omba Dua rasi afe😂😆
Rasi nae akagoma kufa! Jah ana nguvu kuliko yule wa kobazafande sele ali tukana jambo kuhusu Mungu Baada ya magufuli kufa, ndio shekhe kishk majini aka omba Dua rasi afe😂😆
Kishk ni miongoni mwa masheikh wapenda kiki na cameraIlikuaje?? Mimi nilipitwa kidogo, ilikuaje mpaka sheikhe hapa akawa anapiga dua AFANDE SELE afe ?
Na ilikuaje mpaka Leo AFANDE sele yupo anadunda tuu, dua iligonga mwamba au
View attachment 3279873
rasi ana dunda na bado Moshi ana uliza😂😆Au majini yalikutana na Moshi WA bangi naskia yanaogopa bangi
Ndio nashangaarasi ana dunda na bado Moshi ana uliza😂😆