Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We naye nipe point tano kwamba safari ilikuwa na manufaa. Kama ulikuwa kwenye delegation usijibuKweli ulitegemea apande jahazi kwenda huko? Si angefika baada ya mwaka na kuambiwa Sasa mkutano inaendelea huko kwingine hapa uliisha mwaka Jana.
Kuweni serious huyu ni rais wa nchi ana heshima zake.
Safari ya direct imemchukua labda masaa 8 tu angepanda ndege za abiria labda siku mbili kufika huko.
Na pia ana safiri na wasaidizi wengi.
Mama chapa kazi tu.
Ni kizungumkuti na kizunguzungu tupuWenye mamlaka mnaenjoy sana.
Mngejua hali ya huku chini basi tu.
Wanamahesabu tuambie approximately ilitumia kiasi gani
Siamini kama nakunywa gongo.
Nimemaliza.