DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Inakuaje unajua lugha za watu alafu huna pesaKiukweli hakuna Raha napata Kama kuongea kingereza .
Ndugu zangu hata hawa wanawake wasio Fahamu Kingereza wanaboa Sana kiukweli .
Hii Lugha Ni nzuri hata sisi kwetu Bukoba hii ndo lugha yeti Pendwa Sana "Nshomile"
Pesa hakuna ambaye Hana sema tunazo chache vibundaInakuaje unajua lugha za watu alafu huna pesa
Niwemugizi kakutana na watu wa mkoa ule unaosifika kwa matokeo hafifu ya kidato Cha nneWakola.
Unakiasi gani bank baada ya kujua kuongea kingereza?Kiukweli hakuna Raha napata Kama kuongea kingereza .
Ndugu zangu hata hawa wanawake wasio Fahamu Kingereza wanaboa Sana kiukweli .
Hii Lugha Ni nzuri hata sisi kwetu Bukoba hii ndo lugha yeti Pendwa Sana "Nshomile"
Ulishanunua Kitanda na Godoro used kwanza kabla ya kuringa na kujua kwako Kingereza??Kiukweli hakuna Raha napata Kama kuongea kingereza .
Ndugu zangu hata hawa wanawake wasio Fahamu Kingereza wanaboa Sana kiukweli .
Hii Lugha Ni nzuri hata sisi kwetu Bukoba hii ndo lugha yeti Pendwa Sana "Nshomile"