Hio worldwide pandemic kwa walevi.
😃😃 walevi tupo tayari kutoa pesa watu walewe,mpaka sasa nimeshatoa milioni 5 kwa pesa za kibongo kulewesha tu watuAlishawahi kupita bar flani nikiwa nakunywa zangu visungura vya kupima sasa kuna mhitaji mmoja akiwa kwenye kibaiskeli cha kusukuma nikashangaa walevi wote hawakumpa hata mia ila Kila bili ikiletwa wanatoa minoti ya ten ten ndo nikaamini ukienda kwa walevi wewe omba pombe tu
Hakuna saikolojia hapo ni kwamba unakua unaongozwa na akili ya pombe tu.Binti wa zamani hii imekaaje