Hivi inakuaje hili ni rahisi zaidi

 
Mwenye njaa anaagiziwa msosi hapewi pesa na Kama kawaida kabla ya pombe zinatangulia nyama hasahasa mbuzi katoliki
 
Pale ambao pombe zimekutawala😂😂😂
 
Tangu ulipoachwa na yule Mwanamke bado hujatengamaa hata kama unajionesha kwamba kila kitu kiko sawa, Mkuu sahau yaishe pombe zitakuua😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…