Hivi inakuaje Jeshi la Tanzania linavalishwa nguo za Burundi wakapigane DRC? Ni ujinga

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Msemaji wa Jeshi la Burundi, Brig. Gen. Gaspard Baratuza amekanusha taarifa kwamba wanajeshi wa Tanzania waliingia Burundi wakiwa wamevalia sare za kijeshi za Burundi ili kusaidia katika mapigano nchini DRC.

Amesema eti Jeshi la Burundi lipo nchini DRC kihalali, hivyo hakuna sababu ya kuwaficha wanajeshi wake walioko nchini humo.

MY TAKE

Nani alisaini makubaliano kati ya Burundi na Tanzania kuhusu kubadilishana wanajeshi. Halafu ni nini tunapoteza Wanajeshi wetu. Bora Rwanda wao wanabeba dhahabu, Sisi tunanufaiki vipi na Migogoro ya DRC.

Ziara za Burundi na DRC haziishi Nchi Tanzania
 
porojo
 
Wakitaka bia na mishikaki wanafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…