FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Wengi huwa hawajui kama siku moja watakuja kuwa marais, ila jinsi maisha, siasa na kazi zinavyoenda ndio mtu anakuja kuona, kumbe na mimi naweza kujaribu hii kazi.Bado najiuliza ni bahati iliyoje kati ya mamilioni ya watu MTU mmoja tuu unapata bahati ya kuwa rais wa Nchi,cheo ambacho unaweza kuwataka watu wote wasitoke majumbani,ukiagiza ghorofa lijengwe linajengwa japo litachelewa,
Mliosoma history za viongozi mtujuze makuzi ya watu hawa huwa yakoje mpaka kupata bahati hii kubwa.
Sio kweli Mkuu Marekani imewahi kuwa na marais wafupi, Lakini Kuwa active katika siasa haikupi guarantee ya ku ukwaa URAIS Msome trump hajawahi kuwa hata governor wala Senator kiufupi jamaa hana Background ya kuwa active politician ila Still ameukwaa URAIS, Hilary Clinton ambaye amekuwa FLOTUS na Secretary of states mbona aliangushwa na mtu ambae hajawahi kuwa Hata senatorPamoja na yoote lakini BAHATI inahusika. Mataifa yaliyoendelea wanataratibu ngumu na michujo mikali sana hadi mtu kupenya na kua kiongozi wa nchi ili wampate the best in all angles. Unapimwa uzalendo wake, usafi wake kwenye utendaji na hata maisha binafsi, uelewa wake kwenye nyanja za kisiasa, uchumi hata kimataifa, haiba yake na hata uwezo wa kuongea na kuwasiliana na umma
Kuna vigezo vingine havijaandikwa wala havisemwi bali ni kama utamaduni. Kwa mfano US wanataka Rais awe na urefu wa kuanzia kimo fulani. Hawataki Rais wao awe mfupi, na vigezo vingine kibao
Hahaha kabisa mtu na ka certificate chake ka lugha ila ndo ivo tena akawa Commander in ChiefHiyo ni mipango yake Mola Maulana
Ukitafakari Mzee Mwinyi alipataje Urair wa Znz na Tanzania utashangaa sana tena mbele ya Magwiji
Due upo deepMathayo sura ya 2
1 Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za mfalme Herode, tazama, mamajusi wa mashariki walifika Yerusalemu, wakisema,
2 Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudia.
Nukuu hiyo hapo juu, si inajielezea, au niongeze sauti(nifafanue)?
Mkuu nakubali maneno yako. Nadhani nilichanganya madesa. Nafuta kauli yanguMwinyi kasoma makerere hemu lete ushahidi
Hemu ingia Website ya state house mwinyi hajawahi kuwa admitted makerere
Karibu sana mkuu na mimi nafuta nilipo quoteMkuu nakubali maneno yako. Nadhani nilichanganya madesa. Nafuta kauli yangu
Hahaha kabisa mtu na ka certificate chake ka lugha ila ndo ivo tena akawa Commander in Chief
Tunatakiwa kuweka juhudi na maarifa kweny kila jamboAkawa pia Mkuu wa Udsm ile ya wabishi kina Prof Chachage
Jitihada haishindi Qadar
Watu kama Seif Sharif,Malecela,Gharib Bilal,Lowasa bado hawaamini kama wangezeeka bila ya ving'ora
Ndio mkuu, Ifafanue vizuriMathayo sura ya 2
1 Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za mfalme Herode, tazama, mamajusi wa mashariki walifika Yerusalemu, wakisema,
2 Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudia.
Nukuu hiyo hapo juu, si inajielezea, au niongeze sauti(nifafanue)?
Wengi hasa Afrika wanatumia njia zile chafu za kienyeji na kuna mambo mabaya mno nyuma ya pazia usiombe.Bado najiuliza ni bahati iliyoje kati ya mamilioni ya watu MTU mmoja tuu unapata bahati ya kuwa rais wa Nchi,cheo ambacho unaweza kuwataka watu wote wasitoke majumbani,ukiagiza ghorofa lijengwe linajengwa japo litachelewa,
Mliosoma history za viongozi mtujuze makuzi ya watu hawa huwa yakoje mpaka kupata bahati hii kubwa.