FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
- Thread starter
-
- #21
OkWengi huwa hawajui kama siku moja watakuja kuwa marais, ila jinsi maisha, siasa na kazi zinavyoenda ndio mtu anakuja kuona, kumbe na mimi naweza kujaribu hii kazi.
Right place, right time, right people na bahati muhimu.
Jidanganye tu huo muda mwinyi alikuwa anaroga,bila uchawi ukanyagi ikuluHiyo ni mipango yake Mola Maulana
Ukitafakari Mzee Mwinyi alipataje Urais wa Znz na Tanzania utashangaa sana tena mbele ya Magwiji
1977 anajiuzulu uwaziri,
1983 anarudishwa Nyumbani toka Ubalozini Misri anakuwa 'Baba wa Nyumbani' kwa miezi 11 hadi anatokea Mlemavu wa macho a.k.a Kawawa wa Znz (Sheikh Thabit Kombo) Katibu mstaaf wa ASP anaombwa ushaurh na MWL Nyerere nani amrithi Jumbe …nae anamtaja Ally
MWINYI KATOKEA BENCHI
Ndio bila bahati huwezi kupata hiyo nafasi au hata kuwa Tajiri au CEO.Kweli ni bahati, ndio maana inaweza kumdondokea hata mwenye u-dialo
Aliyekwambia kuwa kiongozi akiwa mchawi hakupangwa na Mungu ni nani.....Jidanganye tu huo muda mwinyi alikuwa anaroga,bila uchawi ukanyagi ikulu
Utoto bwana!Bado najiuliza ni bahati iliyoje kati ya mamilioni ya watu MTU mmoja tuu unapata bahati ya kuwa rais wa Nchi,cheo ambacho unaweza kuwataka watu wote wasitoke majumbani,ukiagiza ghorofa lijengwe linajengwa japo litachelewa,
Mliosoma history za viongozi mtujuze makuzi ya watu hawa huwa yakoje mpaka kupata bahati hii kubwa.
Unaamini hizo story za kutunga za waisrael,we maji yajigawe mara mbili sijui nini,hizo ni hekaya tuAliyekwambia kuwa kiongozi akiwa mchawi hakupangwa na Mungu ni nani.....
Kasome Biblia Kuhusu Farao.....alikuwa ni mchawi haswa mpaka Fimbo ya Musa ilipogeuka nyoka na wachawi wa farao waligeuza fimbo kuwa Nyoka...
Lakini Maandiko yanamtaja Farao kama mtumishi wa Mungu
Nebukadreza alikuwa Mchawi 1st class na alisimamisha sanamu kubwa ya dhahabu lakini Mungu anamuita mtumishi wake
↓↓↓ soma hiyo Yeremia na utafakari kwa makini huo mstari wa 9
View attachment 1850297
Inaweza kuwa siyo kwa ajili yako...hapa JF wako watu tofauti tofauti...kama wewe unaziita hekaya na hauamini acha watakuja wanaoamini na watajifunza kitu.....Unaamini hizo story za kutunga za waisrael,we maji yajigawe mara mbili sijui nini,hizo ni hekaya tu