Hivi inakuawaje nyimbo ina views wengi halafu inazidiwa kwenye trending na nyimbo yenye views wachache?

Hivi inakuawaje nyimbo ina views wengi halafu inazidiwa kwenye trending na nyimbo yenye views wachache?

Au ndo vile kununua viewers
Inategemea na muda, we ukiweka video ijumaa ikaangaliwa Kwa views 200,000 then jmos 100,000, j3 50,000 utakuwa na View 350,000 ila j3 mtu mwingne akaweka yake ikapiga 250,000 j3 hiyo wakati yako ina 50,000 lazma awe wa Kwanza japokuwa views umemzidi na itategemea kasi ya viewers kupanda ndo maana wakati mwingne inadondoka hadi namba 3 ila baadae zile zikipoa inarudi number 1.
 
Au ndo vile kununua viewers
Trending hupimwa kwa siku husika. Kwamba views ngapi zimepatikana kwa siku hiyo. Nyimbo inapoachiwa, watu wengi wanakuwa wanataka kwenda kuiangalia kwa mkumpuo. Hapo ndo utaona ina trend. Total Views ni overall impressions toka nyimbo ilivyoachiwa. Nyimbo ikiacha kutrend, viewers kwa siku hupungua lakini total views inaweza kuwa kubwa kutegemeana na watu wangapi waliiangalia ilipoachiwa. Trending inahusu nyimbo zinazopata views nyingi kwa siku na sio overall views.
 
hata mimi nishawaza kuhusu hili hadi kichwa kikauma, ama YouTube nao wana u-team...!!
 
hata mimi nishawaza kuhusu hili hadi kichwa kikauma, ama YouTube nao wana u-team...!!
Nenda You tube kwenye account ya Simulizi na Sauti ya Fredrick Bundala amefanya mahojiano na Mxcater ambaye anahusika na mambo ya You tube ameeleza kwa kirefu tu kuhusu nyimbo kutrend,kununua views n.k
 
Back
Top Bottom