Shekizongoro
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 388
- 153
Kaka mafunzo ya kijeshi huwa almost yanafanana hiyo ni just kubadilishana uzoefu, tukija kwenye issue ya vita hiyo ni just timing kwa nchi zinazolingana nani atamuwahi mwenzake so issue ya time vitani ni muhim sana
Ahsante mkuu; lakini mi nakuwa na wasiwasi kwa nchi ambazo ni jinani na wanaweza kuwa enemy mda wowote mfn Uganda na Rwanda, wala nisingekuwa na shaka sana kama hizi trainings tungewapa waphilipino, thailand n.k. Ndo maana nkauliza haiwezi kuathiri tukiingia kwenye uadui hasa vita.Tanzania tuna wanajeshi kibao wamesoma Urusi Canada UK na Israel.Ninyi mnadhani wakienda huko hawaonekani wageni kama muwaonavyo watu kutoka nchi nyingine wageni kwenye chuo chenu?Jeshi letu na Uganda yamejengwa kwa mfumo wa Kiisrael hata majina yake yanaenda UDF ,TDFJKT nayo waliofanya utafiti wa awali ni jeshi la Israel.
Ahsante mkuu; lakini mi nakuwa na wasiwasi kwa nchi ambazo ni jinani na wanaweza kuwa enemy mda wowote mfn Uganda na Rwanda, wala nisingekuwa na shaka sana kama hizi trainings tungewapa waphilipino, thailand n.k. Ndo maana nkauliza haiwezi kuathiri tukiingia kwenye uadui hasa vita.
Mafunzo ya awali ya uofisa ni standard na mfumo wa mafunzo karibu sawa karibia duniani pote. Ni mafunzo ya kumpa Afisa ukakamavu, uwezo wa kufikiri na kuamua kwa haraka, uwezo wa kuwaongoza walio chini yake kwa hekima na werevu, uvumilivu na mbinu za msingi za kivita.Ahsante mkuu; lakini mi nakuwa na wasiwasi kwa nchi ambazo ni jinani na wanaweza kuwa enemy mda wowote mfn Uganda na Rwanda, wala nisingekuwa na shaka sana kama hizi trainings tungewapa waphilipino, thailand n.k. Ndo maana nkauliza haiwezi kuathiri tukiingia kwenye uadui hasa vita.