Habari,
Kuna mambo yanaendelea hapa duniani ni yakushangaza kwa wenye kutafakari,
Cha kushangaza zaidi ni mambo hayo kukumbatiwa pasi na kuhojiwa,
Kunielewa nini ninamaanisha, cheki attachment niliyoiambatanisha (ZOMBIE FASHION),
Hivi inakuwaje mtu mwenye akilizake, anafunga safari kwenda dukani, anatoa pesa yake pasi na kusikia uchungu na kununua kitu kama hicho,
Hivi akili za watu wanao vaa mavazi haya zikosawa?
Kwangu mimi; akilizao ni REMOTED.
Niliwahi kusema wamama akili zao ni finyu nikaambiwa ni mbaguzi wa akina mama mara nina mfumo dume. Je mbona hakuna wanaume wanaotembea uchi/nusu uchi kama wanawake???