Vyote vinahitajika chooni maji kwanza kisha tissue inafwatia kwaajili ya kujikaushia lasivo utanuka nasio kwa mwanamke tu hata mwanaume tissue ni muhimu
😂😂😂 Kuna wanawake wameolewa sijui na watu wa aina gani. Manake nikisema hata Zinjathropus nitakuwa nawatukana hawa binadamu wa kale.Mke wangu hawezi fanya Huo ujinga, labda awe kahaba wangu, lakini siyo mke wangu.
Huyo kwwnye picha ni wewe?Siwezi kwenda choo kisichoweza kuflash au ambacho hakina maji.
Mpumbavu ni wewe uliyekuwa na very poor hygiene habits.
wewe utakuwa wa dini ileMwanamke kabisa unachukua Tishu unaenda chooni,
ukirudi unakaa na watu kabisa, tena unajisikia amani.
So sad!
HahahaaaaMmekosa vya kulalamikia mpaka tissue zimekua kikwazo aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poor u
Yale makucha Kama majini ya milimani yanawapa tabuMwanamke kabisa unachukua Tishu unaenda chooni,
ukirudi unakaa na watu kabisa, tena unajisikia amani.
So sad!
Huyu jamaa katokea kazulamimba kigoma vijijini, hajui Matumizi ya tissue, sehemu zilizoendelea tissue zinakuwa ndani ya choo au nje ukimaliza kujitawaza na maji unakaushia tissue. Vyoo vingi uku kwetu havina tissue hivyo watu utembea nazo Kwa emergency. Kama umezoea magunzi, majani ya mihogo, au miti mikavu kukwangua matakoni ni wewe, siyo wote wenye tabia kama zako.Mwanamke kabisa unachukua Tishu unaenda chooni,
ukirudi unakaa na watu kabisa, tena unajisikia amani.
So sad!
NI HIVII...Mwanamke kabisa unachukua Tishu unaenda chooni,
ukirudi unakaa na watu kabisa, tena unajisikia amani.
So sad!
Mkuu uliyajulia wapi yote haya au huwa unampiga chabo shemeji yetu akienda msalani??Mi nafikiri mtoa mada hajui matumizi ya tissue kwa Dada zetu.
Mjomba siku nyingine use unafanya tafiti kidogo kabla hujaongea.
Huwa wanafanya hivi, baada ya kujisuuza na maji hutumia hizo tishu kukausha mile kiungo na sehemu zote za maja au tako zilizolowa.
Wengine huenda mbali zaidi kabla hajaanza kukojoa huziangusha au kulaza zile tisu ili mkojo usigonge kwa nguvu na kumrudia.
Watanirekebisha kama nimekosea
tatizo latissue ni nini..Mwanamke kabisa unachukua Tishu unaenda chooni,
ukirudi unakaa na watu kabisa, tena unajisikia amani.
So sad!
Nope ni Alicia Keys.Huyo kwwnye picha ni wewe?