nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,035
unaonekana una stress sana aisee maana kwenye post yako hujaeleza haya umesema tu kwenda na tissue sasa habari za kuflash zinakujaje tena?Acha ujinga basi, unaenda na Tishu halafu unaacha kuflash upumbavu wako.
Ndo mana baadhi yenu mnanuka mikojoMtalimbo hauhitaji tissue
Huwa nawacheka Watanzania kujiona wasafi kwa hiyo mimaji lakini ndiyo imesababisha UTI kuwa common, hawajiulizi kwa nini huo ugonjwa haujulikani kwenye nchi ambazo tissues/wipes ndiyo hutumika zaidi.Kwahiyo ni bora kujirushia rushia maji, nisijikaushe nirudi kukaa na mimaji maji?
Ama kweli na we itakuwa unajiona doctor?
UTI zitaisha kweli kwa namna hii?
Thank youHuwa nawacheka Watanzania kujiona wasafi kwa hiyo mimaji lakini ndiyo imesababisha UTI kuwa common, hawajiulizi kwa nini huo ugonjwa haujulikani kwenye nchi ambazo tissues/wipes ndiyo hutumika zaidi.
Thank you
Fungus na UTI ndo mteja wa maji hayo
Hawajui tu