Hata kama hatuhujuani,hivi huu ujasiri wahusika huwa wanaupata wapi ?
Maana daah,kwa mtazamo wangu,narudia tena kwa mtazamo wangu naona haijakaa sawa na si katika sifa zetu sisi wanaume,labda uwe unasema uongo na kuleta mzaha na kwanini useme UONGO na kuchezea watu akili ?
Nipo......