Hivi inakuwaje unatozwa kodi kiwanja na jengo?


Kilimo kwanza
 
Pumzi yako tu ndio wamekuachia usiilipie Kodi ungekua unailipia Kodi sidhani km ungekua bado unaishi
 
Sasa gerezani watakulinda ukiamua Si unaenda kujimalizia tu
We acha tu....shida zote unarundikiwa ww kodi,dhulma., yakikushinda depression ni zako🤣🤣
Magonjwa ya akili yakikupata utajua utakavojitibu mwenyewe


Ukivua jezi uombe mapunziko (akhera)
Jaribio likikushinda kesi ya umetaka kujitoa uhai

Lengo kuu ufie uwanjani🤣🤣
 
Yote kwa yote mimi niko tayari kulipa hiyo kodi ya kiwanja,changamoto ipo kwenye kulipia hiyo kodi kupitia mtandao, unakataa, wahusika wanayo hiyo habari? Serikali inakosa hayo mapato wahusika shughulikia hilo tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…