Hivi inakuwaje unayempenda hakupendi, usiyempenda anakupenda?

Hapana, kuna watu wanadhani sioni maandiko yao wala sicomment. Nimeamua niwe nachangia hoja kama ifuatavyo ili watu waamini Kwamba nasoma. [emoji23][emoji23][emoji23]
nimekupata mkuu... ubarikiwe
 


Ni kweli kwani hata mie najiulizaga sana juu ya hili ila nina moyo wa ujasili tu.….mwanamke nisiyemtaka akinijia simvumilii, namwambia kabisa ili ajijuwe where I stand juu yake. Kwa kweli inakera sana, utakuta wakati mwingine lijanajike limejichubua na kunuka harufu za hajabu mwilini huku limevaa mavuzi ya wengine (wig) kichwani anakuja kwako huku akijichekesha. Yaani basi tu, nyie wanawake hamjuwi tu tunavyochukia mikorogo yenu na hayo mavuzi yenu ya kichwani.
 
Mpende akupendae asiyekupenda achana naye..!
 
Majibu yake yako kwenye ile article ya amu
 
Mda sahihi haujafikia mkuu
Hakika atatokea mtu mtapendana hadi utajiuliza alikuwepo wap sku zote hizo

Hao wanaopita kwako ni tuition tu bado
 
Love triangle hiyo!!.....ulikuwa hujui!....sasa wewe ndo uamue kakaa na anayekupenda au asiyekupenda !!
 
daaa we jamaa mbishi mnunulie manukato aache kunuka
 
Mda sahihi haujafikia mkuu
Hakika atatokea mtu mtapendana hadi utajiuliza alikuwepo wap sku zote hizo

Hao wanaopita kwako ni tuition tu bado
hakuna hiyooo, asante kunitia moyo

Nani amefukua tena hili kaburi? nimeshampata anayenipenda nami nampenda
God is good always
 
Kama hakupendi unasubiri nini kuweni wastahmilivu atakuja alie sahihi kwa mda mliopangiwa binadamu tuna haraka tu
kumbe ulinitupia dongo kubwa hivi my dear enzi hizo?

thanks though

teh teh
 
Mpende akupendae asiyekupenda achana naye..!
vibaya hivyo kufukua makaburi ujue

btw how are you lakini? asante kwa ushauri nishampata niliyekuwa namtafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…