Hivi inakuwaje unayempenda hakupendi, usiyempenda anakupenda?

Inakua poah
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ma nini ya kichwani!!!!
 
 
haha hata sikumbuki mada ilihusu nn, je nimekukera kukujibu hivo?
hapana my dear, hujanikera hata kidogo

jst for fun tu nimeona kaburi limefukuliwa nikaona msg yako nikacheka
I wanted na wewe ukumbuke ucheke..uzuri wangu sio mwepesi wa hasira hata kidogo

I have decided to choose positive side of life so wakati wote mie nina amani na in case ikipotea kwa muda sitaruhusu iende kwa muda mrefu.

usijali rafiki yangu mzuri msg haina ubaya kabisa
 
nimefrah kusikia hivyo, mana wajua sisi binadam hatujakamilika waweza mkwaza mtu hata usijue umemkwaza

Nimefrah hukukwazika wallah
 
Kama Mungu akasema kila MTU akimbilie ampendae mda wote ingekuwa kukimbizana huku na huko maana kila ukimkimbilia huyu na yeye anamkimbilia yule
 
nimefrah kusikia hivyo, mana wajua sisi binadam hatujakamilika waweza mkwaza mtu hata usijue umemkwaza

Nimefrah hukukwazika wallah
usijali kabisa, mimi hadi unikwaze umefanya kazi kubwa sana.

I don't keep stress with me at all, I love enjoying life
 
Ni kwamba hakupendi kabisa au anakupa upendo wa mafungu? Hakuna kitu kinauma kaMa kupenda usipopendwa halafu ukute mapenzi yalianza vizuri halafu ghafla tu love inayeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…