Gonga tanoBro unafananisha vitu tofauti, hip hop ni utamaduni na ina watu wake siyo ya kila mtu,
"inahitaji akili na ufahamu,elimu ya mtaani, kujituma pia nidhamu"- Professor Jay
Ukiwa sio mchanganuzi wa tenzi huwezi kuelewa hip hop.
Hip hop ndio first born wa bongoflavour halafu wakaja hawa...
Kula weekend sikiliza magoma yako
Nakupenda sana hiphop- Roho saba
Bongo hip- Fid Q
Maneno- Nash MC
Tathmini- Professor Jay ft Jay Mo
Ukimaliza utaona umeikosea sana kujaribu kuishindanisha na Wimbo wa Bia Tamu.
Ooi ooiHiyo ni kawaida toka enzi hizoo waimbaji walibamba zaidi ya wa hip hop
Isipokua media nazo zimeanza kuipa kuchogo Hip Hop
Haipewi nafasi tena kwenye media kama vipindi vya miziki mingine
EA wameebakiza kasehemu kadogo tu dk10 za maangamizi
Adam Mchonvu naye ghafla tu kaondolewa So so fresh
Sasa hivi kuna vipindi vya Bongofleva, taarabu, kwaya, mchiriku, dansi lakini sio hip hop
Namiss sana Saigon aisee