Hivi Inawezekana gari nyingi zinazouzwa Yard zimeshatumika Tanzania?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Kuna BMW moja nimeiona yard flani hapa mjini ni hatari.
 
Inawezekana....ila unapaswa ujue yard na yard...ndinga ilotumika hapa utaijua tu...kapeti zitakuwa zinatema balaa,michanga,engine chafu ma air freshner za kimachinga...seat zitakuwa zinatoa harufu ya jasho la kibongobongo. Yard ikiwa ina wapambe kama 10 wanakuzonga ujue kuna tabu
 
Gari iliotumika hapa lazima watakuwa wameisafisha hiyo gari vya kutosha.
 
Yard za Wazanzibari ndo michezo yao wanatumia gari unguja wanazipandisha meli then wanakuja kuzitumia bara (wanabandua namba za ZNZ na kuweka namba mpya za Bara wewe ukijichanganya kuangalia # D lazima wakushike masikio
 
Inawezekana....ila unapaswa ujue yard na yard...ndinga ilotumika hapa utaijua tu...kapeti zitakuwa zinatema balaa,michanga,engine chafu ma air freshner za kimachinga...seat zitakuwa zinatoa harufu ya jasho la kibongobongo. Yard ikiwa ina wapambe kama 10 wanakuzonga ujue kuna tabu
😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom