Hivi inawezekana kubadilishiwa moyo na kuwekewa mwingine?

Hivi inawezekana kubadilishiwa moyo na kuwekewa mwingine?

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Habari zenu waungwana..?

Hoja yangu hapa ni kutaka kujua hivi inawezekana mtu kubadilishiwa moyo namaanisha kumtoa mtu moyo na kumuekea mtu mwengine na ukaendelea kufanya kazi kama kawaida je hili swala linawezekana.

Asanteni.
 
Hapana.
Kamwe huwezi kumpa mtu mwingine moyo na akaishi nawe ukaendelea kuishi. Ni figo ndo inawezekana mkuu.
 
Bado swali lako lina utata.
Moyo ni kiungo ambacho hakuna uwezekano wa kuhamisha. Ni uhai halisi wa kila kiumbe duniani. Hayo ndiyo majibu.
 
ipo heart transplant imefanyika india jaribu ku Google utaona
 
Mtoa mada una maana watu wote wawili waendelee kuishi. Aliyetoa na kupokea?
 
Mtoa mada una maana watu wote wawili waendelee kuishi. Aliyetoa na kupokea?
atakaye kuwa hai ni yule pokea
so nataka kujua jambo hili linawezekana..?
 
Bado swali lako lina utata.
Moyo ni kiungo ambacho hakuna uwezekano wa kuhamisha. Ni uhai halisi wa kila kiumbe duniani. Hayo ndiyo majibu.
kama moyo ni uhai halisi mbona tumefundishwa moyo unakuwa unaendeshwa na ubongo kwann wenyew usiwe ndo unacontro ubongo...?
 
atakaye kuwa hai ni yule pokea
so nataka kujua jambo hili linawezekana..?
Hiyo inafanyika mkuu tena siku nyingi tu. Lakini bongo bado kwa hilo.

transplant James D. Hardy First transplant in unsuccessful. The first successful lung transplant was performed in 1983 by Joel Cooper. 1963 [4]
First human heart transplant Christiaan Barnard Louis Washkansky Denise Darvall Transplant was only good for 18 days. Washkansky died on December 21, 1967 December 3, 1967 18 days, [5]
First human pancreas transplant Richard Lilleheiand William Kelly 1968 [4]
 
Hapana.
Kamwe huwezi kumpa mtu mwingine moyo na akaishi nawe ukaendelea kuishi. Ni figo ndo inawezekana mkuu.
vitu vingi vinabadilisha hata moyo na mapafu kwa pamoja vinatolewa na kuwekewa vingine na unaendela kuishi
 
Back
Top Bottom