Hivi inawezekana kukawa na kitambulisho jumuishi?

Galincha

Senior Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
122
Reaction score
169
Kwa kua sasa hivi kuna idadi kubwa ya id mfano kitambulisho cha NIDA, Kura, Passport, Leseni n.k na taarifa tunazotoa kwenye hizi taasisi zinafanana kila kitu yaani copy and paste hadi ukiwa na wallet vitambulisho ni vingi kuliko hela .

Swali ni je inawezekana kukawa na kitambulisho kimoja inayoweza ku operate sehemu tofauti tofauti?
 
Vyote ulivyotaja kitambulisho ni kimoja cha NIDA passport si ni hati ya kusafiria,leseni inajieleza yenyewe kazi yake cha kupiga kura ni kadi/utambulisho wa mpiga kura
 
Kwa kua sasa hivi kuna idadi kubwa ya id mfano kitambulisho cha NIDA, Kura, Passport, Leseni n.k na taarifa tunazotoa kwenye hizi taasisi zinafanana kila kitu yaani copy and paste hadi ukiwa na wallet vitambulisho ni vingi kuliko hela .

Swali ni je inawezekana kukawa na kitambulisho kimoja inayoweza ku operate sehemu tofauti tofauti?
Ipo inaitwa "JAMII NAMBA", ikianza kufanya kazi itafuta utitili wa kadi kibao
 
Back
Top Bottom