Ipo inaitwa "JAMII NAMBA", ikianza kufanya kazi itafuta utitili wa kadi kibaoKwa kua sasa hivi kuna idadi kubwa ya id mfano kitambulisho cha NIDA, Kura, Passport, Leseni n.k na taarifa tunazotoa kwenye hizi taasisi zinafanana kila kitu yaani copy and paste hadi ukiwa na wallet vitambulisho ni vingi kuliko hela .
Swali ni je inawezekana kukawa na kitambulisho kimoja inayoweza ku operate sehemu tofauti tofauti?
Na lazima waseme sana... Na huwenda kuna dini zitakaza waumini wao kuwa nayoInawezekana, ila watu wanaweza kusema ni mambo ya Freemason au Illuminati pia.
Uminikumbusha mbali kuna zehebu fulani wanasema "KUPIGWA CHAPA"Inawezekana, ila watu wanaweza kusema ni mambo ya Freemason au Illuminati pia.