Jamani, hivi natakiwa kuendelea kungoja kuoa au, huwa kuna mtu namfikiria ambaye ningependa awe, lakini sijakutana naye hata siku moja. Huwa nafikiria wacha nimpate yeyote, nashauriwa kuwa nitakuja juta siku za usoni, kwa kweli nimeendelea kuvuta muda mpaka najiuliza - ninalofikiria lipo - halipo. Hebu nipeni ushauri

hata mimi kuna mtu namfikiria ila nakutana na opposite wake tu hapo ndo inakuwa ngumu kabisa kwangu .ukifikiria mrefu wanakuja wafupijamani, hivi natakiwa kuendelea kungoja kuoa au, huwa kuna mtu namfikiria ambaye ningependa awe, lakini sijakutana naye hata siku moja. Huwa nafikiria wacha nimpate yeyote, nashauriwa kuwa nitakuja juta siku za usoni, kwa kweli nimeendelea kuvuta muda mpaka najiuliza - ninalofikiria lipo - halipo. Hebu nipeni ushauri
Jamani, hivi natakiwa kuendelea kungoja kuoa au, huwa kuna mtu namfikiria ambaye ningependa awe, lakini sijakutana naye hata siku moja. Huwa nafikiria wacha nimpate yeyote, nashauriwa kuwa nitakuja juta siku za usoni, kwa kweli nimeendelea kuvuta muda mpaka najiuliza - ninalofikiria lipo - halipo. Hebu nipeni ushauri
Huyo unayemfikiria yuko aware kwamba unamfikiria? Na je una uhakika kwamba naye anakufikiria wewe? Utajaishia kukosa yote wewe!Jamani, hivi natakiwa kuendelea kungoja kuoa au, huwa kuna mtu namfikiria ambaye ningependa awe, lakini sijakutana naye hata siku moja. Huwa nafikiria wacha nimpate yeyote, nashauriwa kuwa nitakuja juta siku za usoni, kwa kweli nimeendelea kuvuta muda mpaka najiuliza - ninalofikiria lipo - halipo. Hebu nipeni ushauri
we unafikiria mi nikoje????hata mimi kuna mtu namfikiria ila nakutana na opposite wake tu hapo ndo inakuwa ngumu kabisa kwangu .ukifikiria mrefu wanakuja wafupi
ukifikiria mweusi anakuja mweupe
ukifikiria mzungu anakuja mchina hata sijui kwanini bwana TUSUBIRI HADI YESU AJE NAO TUNAOWATAKA
hata mimi kuna mtu namfikiria ila nakutana na opposite wake tu hapo ndo inakuwa ngumu kabisa kwangu .ukifikiria mrefu wanakuja wafupi<br />
ukifikiria mweusi anakuja mweupe<br />