Hivi inawezekana kwa aliyesoma Chuo Kikuu Huria shahada ya kwanza na pili akafundisha UDSM, SUA, Muhimbili au UDOM?

Hivi inawezekana kwa aliyesoma Chuo Kikuu Huria shahada ya kwanza na pili akafundisha UDSM, SUA, Muhimbili au UDOM?

Kote huko anakotamani kufundisha wanatoa pia master. Kwanini asome hapo? Kuna namna atapata institution culture ambayo ikitokea amepata kazi hatapata tabu kujifunza upya.
Naombeni muongozo wadau kabla ndugu yangu hajichanganya maana Ana GPA ya 4.4 anataka kusoma masters open ili aje apambanie uassitant lectucter.?
 
Open University ni chuo cha vilaza. Kusoma hapo tu undergraduate inaonyesha hali aliyo nayo kichwani. Kati ya vyuo ulivyotaka hakuna hata kimoja ataweza kufundisha.

Namshauri Masters asome katika moja ya hivyo vyuo alafu apate GPA kubwa(4.4 na kuendelea) Kama hiyo aliyopata hapo Open. Vinginevyo mwambie atulize mbwanga
 
Kweli ni vilaza kweli[emoji848][emoji848]
Mbona tcu wanaitambua?
 
Open University ni chuo cha vilaza. Kusoma hapo tu undergraduate inaonyesha hali aliyo nayo kichwani. Kati ya vyuo ulivyotaka hakuna hata kimoja ataweza kufundisha.

Namshauri Masters asome katika moja ya hivyo vyuo alafu apate GPA kubwa(4.4 na kuendelea) Kama hiyo aliyopata hapo Open. Vinginevyo mwambie atulize mbwanga
Nyuzi zako tu huwa zinaonesha wewe ni kiazi kitamu,kiunde,juma kilaza.

Intellectual arrogance Yako ni kiwango cha SGR.

huna hoja muflisi.

Huna utafiti wowote kuhusu Hilo Chuo.

Hoja zako umezitoa kwa msingi wa hisia tu sio uhalisia.

Nenda kaangalie top ranking university za nchi hii Hilo Chuo utakiona. Kipo pale juu na akina udsm.

Open university kwa nyakati za Sasa za kiuchumi na kiteknolojia ndio best university.

Ina PhD Holder na professors wa kutosha.

Mifumo ya kisasa ufundishaji.

Tafitii za kutosha.

Wana customer care nzuri.

Na graduands wake wako competitive maana wanafanyis utafiti wanachosoma in deep tofauti na wameza madesa.

Chuo kikuu huria huwezi soma kama huna vigezo vya TCU katika level zote.

Kwakua watz ni wavivu kusoma(hili swala ni janga la Taifa) Ndio maana Wana Notion mbaya kuhusu Hilo Chuo.

Ila wangejua kwamba nyakati za Sasa za mkwamo wa kiuchumi na mchangamko wa teknolojia OPEN university ni only option.

Mpaka shaka hadi hapo utakuws umeelewa ni kiasi gani ulivyo mjinga.
 
Back
Top Bottom