vkeisy2006
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 229
- 99
Kuna kitu nimeskia nataka nijue kama inawezekana ni hivi Mwanamke anamimba bila kujua kama ni mimba ya mapacha anakwenda kutoa na dokta hampimi anatoa tu na yule mwanamke anaondoka kumbe doctor ametoa mimba ya pacha 1 na nyingine inabaki tumboni je ni kweli ile mimba iliyobaki tumboni inaweza kusurvive na kukua kama kawaida bila tatizo lolote mpka mtoto azaliwe hivi inawezekana kweli jamani....
Inawezekana
Inawezekana
If its surgical abortion,its possible though it will be an exceptional case,mtoto anaweza ku-survive kama mama hato-bleed sana after process ya kutoa,hatopata infections kwenye kizazi na mfuko wa uzazi na akiwa hafanyi shughuli ngumu...... na asitoe tena unless ana shida ya kiafya!!!:car::car: