Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Jaman naomba kuuliza kama inawezekana rais asiye na mke akaingia ikulu.
Nauliza hv kwa sababu vijana wapenda mageuzi tunataman dr. wetu Slaa aingie ikulu lakini ninavyojua mimi dr. ana mchumba tu josephine. Josephine hadi sasa anajulikana kama mchumba na si mke. Je slaa itabid aoe kwanza ndo aingie madarakani?
Rais wa Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mr. Benjamin William Mkapa hakuwa na mke.
Mwl Nyerere alilijua hilo pia. Kwa hiyo hilo la Dr. Slaa si geni hata kidogo. FUNGUKA NA UZI MWINGINE KAKA!!!!!!
Sijui... Nakumbuka kuna hii habari ya Salim Ahmed Salim kutakiwa kuowa pale alipotakiwa kuwa baloziKuna sheria Tanzania inayolazimisha mkulu awe na mke? Kuna nchi nyingi tu zilizo na marais wasio na wake - Mfano Ufaransa...
kwa taarifa yako,ndoa za kidini,kimila ni decoration tuu..ndoa ya bomani ya kiserikali ndio sharti kuu la nchi.Jaman naomba kuuliza kama inawezekana rais asiye na mke akaingia ikulu. Nauliza hv kwa sababu vijana wapenda mageuzi tunataman dr. wetu Slaa aingie ikulu lakini ninavyojua mimi dr. ana mchumba tu josephine. Josephine hadi sasa anajulikana kama mchumba na si mke. Je slaa itabid aoe kwanza ndo aingie madarakani?
Jaman naomba kuuliza kama inawezekana rais asiye na mke akaingia ikulu.
Nauliza hv kwa sababu vijana wapenda mageuzi tunataman dr. wetu Slaa aingie ikulu lakini ninavyojua mimi dr. ana mchumba tu josephine. Josephine hadi sasa anajulikana kama mchumba na si mke. Je slaa itabid aoe kwanza ndo aingie madarakani?
Kwetu hairuhusiwi ndiyo maana Mkapa aliambiwa arudiane na mama Anne, hata hivyo mwaka 2015 mgombea urais Chadema siyo Slaa ni Mbowe, naomba mnielewe kama hamamini sawa tusubiri tuone.
Kwani mke wa rais anatusaidia nini kama Taifa ???