naomben mnsaidie hiki kitu kwa wazoefu ,,mimi mwaka jana niliomba mkopo kupitia heslb nkafanikiwa kupata ila ni kidogo sana na nmesoma pcm nmesoma private o levo na advce sasa nlikuwa nahtaji ushaur kma itawezekana kuomba tena ili npate zaidi ya ule wa mwanzo nasoma civil eng frst year