Mm nijuavyo hawa jamaa huwa wanafuatilia historical background ya shule ulizo soma,ww umesoma shule zote za private kwa hiyo wana ashume unaweza kujilipia,kitu kingine kuna kozi za kipaumbele zilizoainishwa ili uweze kupata mkopo mzuri kama vile ualimu kwa masoma ya sayansi,masoma ya afya ya binadamu,udaktari wa wanyama na baadhi ya kozi za kilimo,anyway jaribu unaweza kufanikiwa