PostGE2025 Hivi internet ikizimwa tena siku za usoni, umejipangaje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ufafanuzi pls,
Hao Konnect Tanzania wanafanyaje? Ni kama vpn, au?

Kama wapo ndani ya Tz, wakitoa huduma wakati wa shutdown Mafwele na Abdul hawatawatia nyavuni?
Of coz wanaweza kuminywa kwa sbb wapo ndani ya Tanzania na wao ndio watoa leseni, isipokuwa uthibiti wake ni mgumu kwa sababu sidhani kama kuna any monitoing tools kwa TCRA unapopata huduma thru satellite na hivyo hakuna ulazima wa kimfumo wa kuunga mifumo ya kitaifa kama Lawful Interception, Traffic, Monitoring na Filtering systems kwa baadhi ya apps au tovuti.
 
Nakua sina namna, uzuri nakua tayari nimeshanunua muvi za dj maki kwa librarian Poor Brain pale Ulongoni, Gomz
Ahahahahaha michoro ujaacha tuu we jamaaa...

Sema kwa siku naingiza 5000 mkuu huwa natamani kulia ujue daaah acha kabisa...

Sijui nitafute kazi serikalini tuuu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Waki Wakipewa Mari wakuzimie internet watafanya hivyo, vinginevyo watanyimwa leseni kufanya biashara nchini kwako.
 
Satellite internet hapa bongo nani ana offer?
Kama anakibali cha TCRA basi anaweza amriwa kufunga hiyo Internet wakati wowote la sivyo atakuwa anafanyabiashara kinyume cha sheria za TZ.
 
Kama anakibali cha TCRA basi anaweza amriwa kufunga hiyo Internet wakati wowote la sivyo atakuwa anafanyabiashara kinyume cha sheria za TZ.
So hii inaonesha during intermittent blockage na wao wanapotea hewani. Maana hapa tz Moja ya masharti ni uwe na ofisi hapa hapa pia ukubaliane na msharti yaliyomo kwenye Sheria inayo husu maswala ya kimtandao.

Jambo lililo msinda star link
 
Hizi point mbili muhimu sana, pamoja na kuwa gavaa inasuasua kuruhusu Starlink TZ ukiweza kuipata ni muhimu sana, huu mchezo wa kuzima internet utaendelea tena.

Na hiyo ya kufanya apps muhimu zifanye kazi offline ni muhimu zaidi.
 
Hapa ni kama mnawasanua serikali kufikiria namna ya kufanya kwa hawa ili watekeleze adhima yao. Mbinu za kivita huwa hapaswi kujua mpinzani wako
 
This time watu watakuwa wamejipanga, kuna huduma za satellite affordable
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…