PostGE2025 Hivi internet ikizimwa tena siku za usoni, umejipangaje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Starlink ndio kila kitu, Lakini kwa jinsi inavyo fanya kazi sidhani kama wanaweza kukubaliana na kufika muafaka na serekali.
Starlink hawana kona na wala haihitajiki ofisi yao iwepo Tz ili ifanye kazi.
Kwa hili sidhani kama wana weza pewa ithibati.
Tunamsemaga mzungu vibaya ila hawa jamaa wapo mbali saana. Ile starlink ikija hapa mambo ni moto wa kuotea mbali.

Mateso ya voda, airtel n.k tutayasahau.
 
Njoo ututoe tongotongo mkuu
 
Mkuu kukuwekea hiyo net inacost kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…