Hivi iPhone ni simu bora kama tunavoambiwa?

Hivi iPhone ni simu bora kama tunavoambiwa?

homeboy12

Member
Joined
Jun 10, 2024
Posts
19
Reaction score
44
Kiufupi nataka kununua simu sasahivi lakini niko njia panda. Ninunue iPhone au zingine hizi maana iPhone watu wanasema ni nzuri lakini mimi sijui.

Naombeni uzoefu wenu jamani.
 
Umenisaidia nitatumia majibu kwenye uzi wako kufanya maamuzi, nataka kuhama samsung ila sijajua ninunue simu gani.
 
Kama una mambo mengi ya kufanya kwenye simu bc tafuta samsung S moja safi utulie nayo
 
iPhone Kwa kuangalia specs ni simu nzuri, hata utendaji WA simu kama iOS isingekuwa na vigingi hata mi ningeshawishika maana iOS iko smooth Sana .

tofauti na simu za android ambapo Uhuru ni mkubwa na ninaweza kupata apps nje ya play store kama apps za kuangalia mpira.au kupakua video youtube
We jitazame kwenyewe na Aina ya matumizi
 
Back
Top Bottom