kama ni KE nunua iPhone, hazina shida kwaoiphone watu wanasema ni nzuri lkn me sijui naombeni uzoefu wenu jaman
WanaozitumiaNani anakuambia kwanza?
😁 Me zinashida gan?kama ni KE nunua iPhone, hazina shida kwao
Kwa hivyo umekuja kuwashitaki humu?Wanaozitumia
unakuwa mfungwa😁 Me zinashida gan?
Karibu tuwasikilize wazoefuUmenisaidia nitatumia majibu kwenye uzi wako kufanya maamuzi, nataka kuhama samsung ila sijajua ninunue simu gani.
Naomba ushauri tuKwa hivyo umekuja kuwashitaki humu?
How?unakuwa mfungwa
Sikuwahi kuikubali iphone(sina sababu), kuna kipindi nilipewa ila nikaigawa pia mwaka juzi nadhani ila nataka nibadili upepo nione.Karibu tuwasikilize wazoefu
SawaSikuwahi kuikubali iphone(sina sababu), kuna kipindi nilipewa ila nikaigawa pia mwaka juzi nadhani ila nataka nibadili upepo nione.
NakaziaKama wewe ni mwanaume simu yetu ni SAMSUNG
Achia wanawake na walamba lips iPhone